340. Waenda Wapi Msafiri?

1.  Waenda wapi msafiri? 

    Rudi kwa Babako. 

    Hupati raha pengine 

    duniani mwote. 

         Rudi! Rudi!


2.  Urudi mwenye taabu kuu 

    kwa Mganga wa kweli. 

    Hakuna mganga mwingine 

    ila Mwokozi tu.

          Rudi! Rudi!


3.  Urudi mwenye huzuni 

    kwa Mtuliza mioyo.

    Asiyefika kwa Yesu 

    hafiki kwa Mungu. 

          Rudi!  Rudi!


Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu