321. Mimi Ni Mtupu Bwana
1. Mimi ni mtupu Bwana
unitwae nilivyo
damu yako Bwanangu
yatosha.
Nilivyo,
(mimi mkosaji)
unipokee
Yesu kwako
Bwanangu.
2. Nipe vipawa vyako
imani na upendo
ili nidumu nawe daima.
Nilivyo...
3. Unikubali Bwana
katika enzi yako
nitumike kwako tu,
kwa upendo.
Nilivyo...
4. Mimi ni mtupu Bwana
univike mwenyewe
kitu ninachotaka nipone.
Nilivyo...
Comments
Post a Comment