314. Ni Mpweke Hivi

1.  Ni mpweke hivi sina  rafiki.

    Mwenzangu Yesu,

    Yeye yu nami.

    Ananifariji katika njia,

    Ananifariji katika njia.


2.  Wenzangu wote, wanichukie, 

    wakiniacha sitaogopa. 

    Pendo lake Yesu 

    ni ngome yangu,

    pendo lake Yesu

    ni ngome yangu.


3.  Kazini mwangu dhiki napata. 

    Ingawa hivyo Yesu simwachi.

    Ananiongoza na kuhifadhi,

    Ananiongoza na kuhifadhi.


4.  Ee moyo wangu usiogope.

    Jikaze sasa, Yesu Mwenzio.

    Atakuokoa katika shida,

    Atakuokoa katika shida. 

Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu