311. Neno la Mungu Takata
1. Neno la Mungu takata
lililotoka mbinguni;
ambalo moto na panga
haziwezi kulishinda.
Twakushika siku zote
maishani na kufani.
2. Waliotutangulia
waliokutegemea,
wamekufia mashujaa;
nasi tulio watoto.
Twakushika …
3. Neno la Mungu takata,
tukushuhudie nasi
kwa neno tamu na
tendo kunako wenzi au adui.
Twakushika …
Comments
Post a Comment