301. Mungu ni Pendo
1. Mungu ni pendo!
Apenda watu!
Mungu ni pendo
anipenda.
Sikilizeni furaha yangu:
Mungu ni pendo
anipenda!
2. Nilipotea katika dhambi
nikawa mtumwa wa
Shetani.
Sikilizeni …
3. Akaja Yesu kunikomboa,
Yeye kanipa kuwa huru.
Sikilizeni …
4. Sababu hii namtumikia,
namsifu Yeye siku zote.
Sikilizeni …
Comments
Post a Comment