296. Sikiliza Ewe Mtu mkosaji
1. Sikiliza ewe mtu mkosaji
hutaweza kuyafuta makosa.
/: Yesu ndiye tu
(awezaye kufuta)
Awezaye tu (kuondoa
dhambi zako kabisa)
makosa.:/
2. Tu wanyonge hata nguvu
hatuna
hatuwezi kujiosha makosa
/:Yesu ndiye tu … :/
3. Njooni kwake mpokee
msamaha
damu yake yatuosha
makosa.
/:Yesu ndiye tu … :/
4. Njia yako ee Bwana
Mungu wetu
tusikose kufuata kabisa.
/:Yesu ndiye tu … :/
5. Usikie wanao wakiomba
tuwezeshe kujishika na wewe.
/:Yesu ndiye tu … :/
Comments
Post a Comment