286. Mimi ni Mtu Mkosaji
1. Mimi ni mtu mkosaji, ni mwenye moyo mnyonge, mwenye uchafu mwingi. Mungu nihurumie!
2. Wema sina kabisa! Lakini maovu tu, nimepunguka sana. Mungu nihurumie!
3. Moyo umevunjika, nina woga kwa macho kutazama mbinguni. Mungu nihurumie!
4. Yuko mmoja mbinguni, ndiye mwokozi wetu, name ninamngojea. Mungu nihurumie!
5. Niliyemtegemea, Yeye hatanitupa, anipenda kw amoyo. Mungu nihurumie!
Comments
Post a Comment