263. Bwana Wetu Aliye Mwema
1. Bwana wetu aliye mwema,
tunamshukuru!
Haya tumshukuruni milele!
/: Haya tumshukuru. :/
2. Yesu Kristo, Mwokozi wetu,
katuokoa
makosa yetu yote yatoke.
/: Haya tumshukuru. :/
3. Umshukuru na roho yangu,
kwa mema yote
aliyokutendea bure tu.
/: Haya tumshukuru. :/
4. Atupenda na kutulinda,
siku zozote
Yeye ni Mchungaji wetu wema.
/: Haya tumshukuru. :/
Comments
Post a Comment