261. Sifuni Bwana

1.  Sifuni Bwana 

    watoto kwa furaha! 

    Anasikia 

    nyimbo zetu watoto.

    Sababu hii mwimbieni!

 

2.  Twapenda sana, 

    kupaza sauti zetu, 

    kukuimbia

    tena kukushukuru, 

    tunaokaa duniani. 


3. Unasikia watoto waimbao,

   nasi twaomba: 

   utupeleke kwako, 

   tukusifu na malaika. 

Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu