249. Kwa Kuwa Hutaogopa

1.  Kwa kuwa hutaogopa 

    ushuhuda wake, 

    ishara ile msalaba 

    ndiyo alama kuu.


2.  Kwa kuwa hutaogopa 

    kusimama naye

    utukufu uupokee, 

    na kuaibishwa.


3.  Kwa kuwa hutauacha 

    uimara wako,

    tetea Jina la Yesu,

    usije ogopa.


4.  Kwa kuwa utapitia

    kwa njia nyembamba 

    inua huo msalaba usiaibike.


5.  Nasi twajiweka kwake,

    kwa hiyo ishara, 

    msalaba beba duniani, 

    mbinguni ni taji.

Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu