242. Tumsifu Mungu Bwana

1. Tumsifuni Mungu 

   Bwana Mtakatifu 

   anatawala vizuri popote, 

   asiyekubali wabaya watutese,

   tumsifu Mungu wetu, 

   hakutusahau.


2. Tulipoumia alituokoa, 

   atusaidia tulio wake.

   Nasi twawashinda 

   maadui popote,

   sababu Bwana wetu 

   anatuongoza.


3. Twamsifu Mwenyezi 

   aliye mbinguni. 

   Twamwomba:

   “Uzidi kutubariki,

    mwovu asipate 

    kutudhuru kwa hila,”

    twasifu Jina lako, 

    Mwokozi wetu mkuu.

Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu