309. Karibu na Wewe, Mungu

1. Karibu na Wewe, 

   Mungu wangu, 

   nikukaribie, Bwana wangu.

   Siku zote niwe karibu na Wewe,

   nikukaribie Mungu wangu!


2. Mimi nasafiri duniani, 

   pa kupumzikia sipaoni.

   Nilalapo niwe

   Karibu na Wewe, …


3. Yote unipayo yanivuta,

   pa kukaribia nitapata.

   Furahani niwe 

   karibu na Wewe, …


4. Na kwa nguvu zangu 

   sitakwenda,

   sina la kufanya peke yangu.

   Mashakani niwe 

   karibu na Wewe, …


5. Nitakapofika kwako mjini 

   nitakapokula mkate wako, kwa

   milele niwe karibu na Wewe,

   karibu kabisa, Mungu wangu!


Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu