273. Ewe Baba Yetu

1. Kumtegemea Mwokozi

   kwangu tamu kabisa;

   kukubali Neno lake,

   nina raha moyoni. 

        Yesu, Yesu namwamini, 

        nimemwona thabiti;

        Yesu, Yesu yu thamani; 

        ahadi zake kweli.

 

2. Kumtegemea Mwokozi

   kwangu tamu kabisa;

   kuamini damu yake,

   nimeoshwa kamili.

          Yesu, Yesu ...


3. Kumtegemea Mwokozi 

   kwangu tamu kabisa;

   kwake daima napata 

   uzima na amani. 

          Yesu, Yesu ... 


4. Nafurahi kwa sababu 

   nimekutegemea, 

   Yesu, mpendwa na rafiki

   uwe nami daima. 

         Yesu, Yesu ...

Comments

Popular posts from this blog

276. Nina Haja Nawe

257. Haya ee Moyo Wangu

265. Mganga Wetu ni Karibu