243. Wazima Wote Wamsifu
Wazima wote wamsifu Bwana,
Wazima wote wamsifu Bwana!
Msifu Bwana, Msifu Bwana.
Nyumbani mwake tumshangilie
nguvu zake za juu tuzisifu!
Wazima wote, msifu Bwana,
wazima wote, wazima wote,
Wamsifu Bwana! Wamsifu Bwana!
Kwa filimbi na baragumu
na vinubi hata zeze na ngoma
wamsifu Bwana, wamsifu Bwana.
Wazima wote, wamsifu Bwana
baragumu na filimbi
wamsifu Bwana,
Ee, Bwana wa Majeshi. Haleluya.
Comments
Post a Comment